Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ulituangusha mno bro...
Ulituangusha mno bro...
Weee mbaba sijui mbabu bana ee sijakulazimisha ujibu khaaanenda home msubir atakuja mwenyew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee et wameenda kunyanduana,,hapana bhna haikuwa hivyo bro,Mi sijasema hivyo Bro. Mlikuwa na ukaribu fulani hivi safi sana. Mlikuja pamoja katika uzi na ilikuwa mmoja akipotea basi na mwingine naye anadisapia mpaka nikawa nasema hawa wameenda kunyanduana hawa. Kuja kushtuka wajanja weshazinduliwa na tayari walishahamia Rockcity kabisa wako bize wanakandia Wasuku....Aaaaaargh !!!
Haya mambo ni magumu. Juzi hapa mwingine kwenye group moja katuma nauli ya Bombadia kabisa binti aje kutoka Bukoba mpaka usiku saa nne bombadia zote hakuna mtu akawa anaulizia kama kuna hatua za kisheria anaweza kuchukua kwa sababu ushahidi wa miamala ya Bombadia anao pamoja na jina na namba ya simu ya aliyempiga. Wanasheria wakamshauri shauri hapo sijui alifika wapi. Huyu alipigwa karibu laki 8 kisa mtoto wa kishua kutoka Muleba [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unabahati ni broooo[emoji23][emoji23]
#natunzamapovuyangu#
Ha haUlituangusha mno bro...
Kama hukunyandua unayo kesi ya kujibu dadeki. Kama ulinyandua basi upo tu hapa unatucheka kimoyomoyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee et wameenda kunyanduana,,hapana bhna haikuwa hivyo bro,
Dah leo nmecheka sana,et wananyanduana duh hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabadiliko gani?
Mimi ni huyu huyu. Mengine nitajuana na Mungu wangu. Na kama unaongelea misambwanda siachi NG'O...
View attachment 1014464
sio ugomvi dada numbisaWeee mbaba sijui mbabu bana ee sijakulazimisha ujibu khaaa
Ha ha
Next time haitajirudia bro!!
Ha ha ha hakuna kitu kama hcho kilitokea bro,hii kesi yangu na shiro naomba iwe closed bro,,,ha ha haKama hukunyandua unayo kesi ya kujibu dadeki. Kama ulinyandua basi upo tu hapa unatucheka kimoyomoyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Vipi tena? Hapo ni kupambana kufa na kupona kulinda heshima ya ukoo...tena kirahisiiiii...Tobaaa[emoji1751]
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee,anko hanaga masihara yule,anachosema hapa anaweza kufanya kweli hahahAnko wako tayari analalamika kuwa kachoka kukusukumizia na akishindwa atabeba mzobe mzobe aje akubwagie mlangoni. Bado nachunguza nijue undani wa hii ishu...Hata kama ni kule Makapuku na Usiku wa Manane nitafika...[emoji16][emoji16][emoji16]
Samahani kama nimezidisha matani bro...Nakazia tena. NI MATANI tu...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ha ha ha hakuna kitu kama hcho kilitokea bro,hii kesi yangu na shiro naomba iwe closed bro,,,ha ha ha
Bunadamu mnaelewekaga basi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona sijasema ni mabadiliko gani? kumbeeeee....
Hayo ndiyo maneno sasa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1014487
Hapana hujazdsha matani bro,,nilikuwa sijui kama unawazia hvyo bro et mmoja akipotea na mwingine anapotea,,unajua tunanyanduana hahaha aisee,,,Samahani kama nimezidisha matani bro...Nakazia tena. NI MATANI tu...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hakuna neno bro. Shiro ananifahamu vizuri na matani yangu. Naamini hatakwazika. Yote kwa yote nimeacha bro...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hapana hujazdsha matani bro,,nilikuwa sijui kama unawazia hvyo bro et mmoja akipotea na mwingine anapotea,,unajua tunanyanduana hahaha aisee,,,
Naelewa ni matani kwangu,shiro anaweza hisi ni kweli bro japo sidhani kama anaweza fikilia hvyo sana just nmesema tu