Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ha ha
Nipo napambana anko,kwa hyo anko hadi uje ukiwa umemshika mkono kweli??si ntaonekana domo zege anko
Na wewe sasa umekuwa tatizo!
Ninakuletea mtu hadi ulipo bado utashindwa kumalizia?
Nitamleta tu, hata kwa kimya kimya mnataelewana. Au la namwambia kabisa "huyu ni ankoo wangu, hajui kutongoza kabisaaa... Sifa yake kuu ni mtaalamu wa kuzunguka na kona ya bwiru"... Naamini hatapinga akisikia kona ya bwiru [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nenda naye pole pole. Bro wangu yule mwingine huoni imemchukua miaka lakini evenchuale kajipatia aliye wake sasa hivi haoni wala hasikii 24/7 parabozi za mapenzi tu...

Ila huyu kwa Shiro aliniangusha sana mpaka roho inaniuma yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kweli, kwa shiro sijui alishindwa wapi? Sasa hivi shiro namuona na dingimtoto shwaiini zake...
Naona mdogo wangu kisiki alichojikwaa safari hii ni kiboko... Mungu aendelee kuwa upande wake[emoji120][emoji120]
 
IMG-20190205-WA0003.jpg
 
Hamna. Wakati mwingine we ndo unaanzishaga kabisa na kenyewe sasa ndo kanaanza kujishebedua...

Haya mambo bana we acha tu. Hata huyu dogo naye juzi juzi hapa kakwama huko anafakamia konokono ya dada zangu Wasuku halafu bado anatuponda dah! Roho iliniuma ila basi tu. Iweje konokono ya washamba ikutie ushamba mpaka uhame kwenu na kukatalia huko kwa washamba? Hovyo kabisa nyie vijana [emoji16][emoji16][emoji106]
Hahahaha tatzo sio konokono bro,,konokono ni habar nyingine ile hahaha
 
Back
Top Bottom