Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9c37c30b-14b1-4f8e-a30a-14f8adece4a4.jpeg
 
All men/ women are the same - really! Questions : Did you date all of them? if you didn't shut up
Kuna mtu amekuudhi na hiyo kauli bro ama unatoa dukuduku lako tu?

Kati ya Yanga na Simba unashabikia ipi? Unataka kubet tena niikombe hiyo iPhone yako kama wiki jana? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndugu zangu wanaSIMBA naomba radhi kwa yaliyopita, sisi sote ni Watanzania na tunapendana sana.
Draw inatosha kabisa....Pliiiz msitudhalilishe..[emoji120][emoji120][emoji120]

"Alisikika mwanayanga mmoja akiwawakilisha wenzie"[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuja kushangaa Simba wanapigwa hamsa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom