myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wasafiri wooote
Tanzania yetu[emoji445]
Hakika, kuna haja. Akaze tu, wengine tusha choka...Kaza baba kaza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1024058
Goli moja ni huruma ilioje..Ndugu zangu wanaSIMBA naomba radhi kwa yaliyopita, sisi sote ni Watanzania na tunapendana sana.
Draw inatosha kabisa....Pliiiz msitudhalilishe..[emoji120][emoji120][emoji120]
"Alisikika mwanayanga mmoja akiwawakilisha wenzie"[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app