Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Najua. Nina braza ni Yanga damu damu basi tangu jana kadorora utafikiri mgonjwa. Haya mambo ni magumu...

Halafu kwa nini nyie washabiki wazuri wa timu za nje hamshabikii timu za nyumbani. Jana mshua papaaa wa iPhone Capital naye alisema hivyo hivyo. Kuna tatizo gani? Mpira wa nyumbani hovyo ama nini?
Masuala ya ushabiki wa mpira magumu sana,mtu unakosa raha aman etc na huna jinsi maana ni zaidi ya uraibu

Mpira wa bongo maigizo mengi,uchawi nje nje,kudanganya umri kama kawa hakuna radha kabisa
 
Back
Top Bottom