Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ya bandia haya wala haya mvuto. Kha !!![emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji85]
a80f963d-8647-4ca4-9cc2-d26fb6bee920.gif
 
Kabila halihamiki. Vingine vyote hivyo vinahamika tena kirahisi tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwangu mie ngumu sana mfano YANGA naipenda tangu utoton..siku hizi sifagilii mechi za bongo ndo maana hata habari zao sibandiki hapa ila ushindi wao ni burudani tosha,kufungwa kwao maumivu ya nguvu. Kuhama Man u ni impossible mission
 
Kwenye kambi ya Man United mambo ni moto, huku kiungo Paul Pogba akitafuta namna ya kuwatuliza wachezaji wenzake baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mechi ya PSG, jambo lililomchanganya na kwenda kupiga ngumi makabati huko kwenye vyumba vya kubadilishia Old Trafford.
 
Kuna nyakati tunakuwa tunatengeneza nafasi, lakini tunashindwa kuzitumia kwa kuingia kwa kasi kwenye boksi. Kimbilieni pale kwenye boksi, fanyeni kama alivyofanya Mbappe kwenye lile goli alilofunga," alisema Ole akiwaambia washambuliaji wake.
 
Kwangu mie ngumu sana mfano YANGA naipenda tangu utoton..siku hizi sifagilii mechi za bongo ndo maana hata habari zao sibandiki hapa ila ushindi wao ni burudani tosha,kufungwa kwao maumivu ya nguvu. Kuhama Man u ni impossible mission

Kwa mara ya kwanza nampata mtu tunae endana katika ushabiki wa mpira Bongo na Uingereza!
Namtafuta ambaye tutakuwa sawa Hispania pia.
 
Kwangu mie ngumu sana mfano YANGA naipenda tangu utoton..siku hizi sifagilii mechi za bongo ndo maana hata habari zao sibandiki hapa ila ushindi wao ni burudani tosha,kufungwa kwao maumivu ya nguvu. Kuhama Man u ni impossible mission
Najua. Nina braza ni Yanga damu damu basi tangu jana kadorora utafikiri mgonjwa. Haya mambo ni magumu...

Halafu kwa nini nyie washabiki wazuri wa timu za nje hamshabikii timu za nyumbani. Jana mshua papaaa wa iPhone Capital naye alisema hivyo hivyo. Kuna tatizo gani? Mpira wa nyumbani hovyo ama nini?
 
Hahaha et braza kadorora,soka ipo kwenye damu ukiona hvyo
 
Back
Top Bottom