Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sina uhakika kama ulimkuta hajabadilika. Huyu wa sasa hata asilimia 1 ya yule wa zamani hamfikii. Alikuwa na uwezo wa kuendesha hata ligi 4 kwa mpigo na zote akazisimamia sawasawa na kushinda. Sijui aliokoka. Sijui aliolewa. Sijui nini kilimtokea mpaka akabadilika na kuwa huyu wa sasa ambaye hana hata sifa ya kuwa rolo modo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwakipesile bana acha hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi kuna video inazunguka watsup nadhan hata insta itakuwepo,wadada wawili wakisuku na wakaka wakicheza muziki full kuyakata mauno basi ka mbabu ka kisuku kakaona hapa sikosi nafasi kakaganda tiii na kuanza chezesha kalio moja juuu chini juuu chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiungo wa kati wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba, 26, ametaka kuhamia klabu yake ya zamani Juventus ikiwa miongoni mwa mipango ya kubadilishana na Douglas Costa, 28 anayetaka kuhamia Man United. (Tuttosport, via Star)
 
Chelsea wanafikiria kumsajili mshambuliaji wa Inter Milan na raia wa Argentina Mauro Icardi, 25, ambaye hivi majuzi alipokonywa wadhfa wa nahodha wa klabu hiyo baada ya Real Madrid kupunguza hamu yao ya kutaka kumsaini. (Sun)
 
Real inamlenga mshambuliaji wa PSG na Brazil mwenye umri wa miaka 27 Neymar mwisho wa msimu huu hatua ambayo huenda ikaharibu mipangilio ya uhamisho wa mshambuliaji nyota wa Chelsea na Ubelgiji Eden Hazard.(Sunday Times - subscription required)
 
Manchester United wanamtaka mshambuliaji wa Juventus na Argentina 25 Paulo Dybala na itaipatia klabu hiyo ya Serie A mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku, 25, katika makubaliano hayo. (Sunday Mirror)
 
United imejiandaa kumpatia kipa wao David de Gea, 28, kandarasi ya muda mrefu yenye thamani ya £90m - ikiwa ndio mshahara mkubwa katika historia ya soka ya Uingereza na wana matumaini kwamba kipa huyo wa Uhispania atatia saini kandarasi hiyo. (Sunday Times - subscription required)
 
Klabu ya Manchester United pia ina hamu ya kumsajili kiungo wa kati wa Lyons mwenye umri wa miaka 22-year-old Tanguy Ndombele huku mchezaji huyo pia akinyatiwa na Juventus. (Metro)
 
Basi kuna video inazunguka watsup nadhan hata insta itakuwepo,wadada wawili wakisuku na wakaka wakicheza muziki full kuyakata mauno basi ka mbabu ka kisuku kakaona hapa sikosi nafasi kakaganda tiii na kuanza chezesha kalio moja juuu chini juuu chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Toto tundu weye! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom