Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Basi kuna video inazunguka watsup nadhan hata insta itakuwepo,wadada wawili wakisuku na wakaka wakicheza muziki full kuyakata mauno basi ka mbabu ka kisuku kakaona hapa sikosi nafasi kakaganda tiii na kuanza chezesha kalio moja juuu chini juuu chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
51746455_288928101779074_5847898165133847239_n.jpg
 
Basi kuna video inazunguka watsup nadhan hata insta itakuwepo,wadada wawili wakisuku na wakaka wakicheza muziki full kuyakata mauno basi ka mbabu ka kisuku kakaona hapa sikosi nafasi kakaganda tiii na kuanza chezesha kalio moja juuu chini juuu chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naiomba Anko,nataka nione anavyo chezesha tundimu twake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ngoja nikufundishe. Haya weka mguu pandeeee si wakumbuka shule ya mguu pande mguuu asawa atiiiiziii atensheeeniii enheee kisha weka ya kiafande ya shoto kulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama hivi yaan [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] kisha gamda haya anza kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom