Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
sawa sawa..Kwa kufanya hivyo, staa huyo mshindi mara tano wa tuzo ya Ballon d'Or, ambaye atafikisha umri wa miaka 32 baadaye msimu huu, ameweka rekodi ya kufikisha mabao yanaoanzia 30 kwa misimu 11 mfululizo.