myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
umoja na uzalendo wetu..
aisee......................Wiki iliyopita, PSG waliichapa Man United 2-0 kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya na Neymar hakucheza mechi hiyo kutokana na kuwa majeruhi.