moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Uamuzi wa kupeleka harusi hiyo huko ni kwa ajili ya kuhakikisha usalama. Bale, anayelipwa Pauni 600,000 kwa wiki kabla ya makato ya kodi huko Real Madrid sababu ya kufanya hivyo ni kutokana na vitisho vya kiusalama.