Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa sababu harusi hiyo itakuwa ya watu wachache, Bale na mama watoto wake wamedai kwamba watafanya sherehe nyingine huko Cardiff ili na kuwaalika wale ambao watakuwa wamekosa sherehe ya mwanzo. Harusi hiyo itafanyika mwishoni mwa msimu huu.