Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahaha sina kumbukumbu nzuri kama nlishabahatika kukutana na like ya lucifer,,toka lini Lucifer akagawa likes bro[emoji23][emoji23][emoji23]Anacheza na moto...
Kwani kwa sasa Lucifer anatoa likes? Mimi sipati hata moja. Yawezekana nipo kwenye iginoa listi tayari ama?
Niliwahi kuwa na mmoja aisee we acha tu. Ni yule ninayekukanyaga mara kwa mara kuwa usinikumbushe - mweupe peee, mrefu, msambwanda wa kuburuta...Wanyiramba na Wairaqw ukimkuta aliyeumbwa akaumbika aisee ni kazi...Aisee pole sana bro,ni tumaini kuwa hizo silaha ulizonazo zitapambana kadri ya uwezo wake na zishinde pambana hilo,,hope iwe hvyo.
Huku kwema bro,mabinti wa Kinyiramba wapo,wamejaa tele ni magunia ya vitunguu na alizeti pekee ndio yanayohitajika huku,ukiwa na mabinti hawa hauhitaji umeme wa Tanesco,kwan Tanesco wakifanya yao,hawa mabinti ni mwanga tosha chumban[emoji23][emoji23][emoji23]
Ban yake ikiisha atarudi...Hahaha sina kumbukumbu nzuri kama nlishabahatika kukutana na like ya lucifer,,toka lini Lucifer akagawa likes bro[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila yule mwingine Wallah likes zilikuwa zakutosha sana,,,
#BringBackOurWallah#