Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sarri pia anakabiliwa na kesi nzito dhidi ya Tottenham Jumatano ijayo katika Ligi Kuu ya England. Ni ngumu kuona akiruka viunzi katika mechi hizi mbili dhidi ya Manchester City na Tottenham ambapo pambano moja linaweza kumnyima taji lake la kwanza katika maisha ya soka wakati pambano jingine linaweza kuhitimisha mbio zake za Top Four.
 
Kufuatia vichapo vitano katika mechi 10 ikiwemo vichapo vizito kutoka kwa Bournemouth na City, bodi ya Chelsea imepoteza imani na Sarri. Na sasa pia mashabiki wamepoteza imani na kocha huyo waliyemchukua kutoka Napoli.
 
Mashabiki wanaamini Sarri hana mbinu na amekuwa akivurunda pia katika wachezaji ambao anawaingiza uwanjani wakitokea benchi huku mfano mmoja ukiwa ule wa kumungiza uwanjani beki wa kulia, Davide Zappacosta katika pambano la United akichukua nafasi ya Cesar Azpilicueta.
 
Sarri alichukua uamuzi huo huku Chelsea ikiwa nyuma na wakati huohuo katika benchi kulikuwa na washambuliaji kama Callum Hudson-Odoi na Olivier Giroud. Mashabiki na wachambuzi wanashangwa pia na kitendo chake cha kumpanga Jorginho katika eneo la kiungo cha kati badala ya N’Golo Kante.
 
Uwanja wa Taifa ni kama mlivyosikia..
FB_IMG_1550852324435.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kante anajulikana kama kiungo bora zaidi katika eneo la katikati hasa kiungo mkabaji lakini chini ya Sarri amekuwa akicheza kama kiungo wa kutoka nyuma kwenda mbele. Jorginho amekuwa akishutumiwa kwa kupiga pasi nyingi ambazo hazina madhara kwa adui.
 
Watu watatu wanatajwa kuwa wanaweza kupewa kazi ya muda endapo Sarri atafukuzwa anaweza kuwa Gianfranco Zola ambaye ni msaidizi wake. Kocha wa Ufundi, Eddie Newton pamoja na beki wa zamani wa Chelsea, Paulo Ferreira ambaye anafanya kazi na Newton.
 
Wakati hatima ya kocha wa Chelsea ikiwa njia panda, hatima ya klabu kwa ujumla nayo ipo njia panda baada ya tajiri wa klabu hiyo, Roman Abramovich huenda akaiuza timu hiyo baada ya kuwa katika mgogoro na Serikali ya Uingereza. Abramovich hajaonekana Stamford Bridge msimu huu baada ya Waingereza kumnyima viza ya kungia katika nchi hiyo.
 
Chelsea pia huenda ikafungiwa na Fifa baada ya kudaiwa kusajili wachezaji 14 wa kigeni wenye chini ya umri wa miaka 18. Naye Eden Hazard akiwa katika hatihati huku ikielezwa anataka kujiunga na Real Madrid katika dirisha kubwa lijalo la majira ya joto.
 
Back
Top Bottom