Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

E!e! Bado kipya?
Kipyaaa ndani ya karatasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mfalme alitaka kujua idadi ya makahaba ktk mji wake akawaambia wajipange foleni kuhesabiwa.
wakapanga mara bibi kizee akapita akamuona mjukuu wake katika foleni akamuuliza kuna nini
hapa? mjukuu akamwambia "mfalme anagawa maembe bibi"
Bibi akaunga foleni kwa uroho wa maembe.
mfalme alipomfikia bibi akamuuliza hata wewe bibi? Bibi Akamjibu "mie tena ndio mtaalamu hadi kokwa
nanyonya"
mfalme akapoteza fahamu... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe vikitunzwa tunaishi miaka tele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikikimikiki ya milima ya Nyegezi na ajali za kona ya Bwiru bila shaka zinapunguza life spans, bado ishu za mimba na kujifungua; na magonjwa kadha wa kadha....

Na cha kwako bado kipya ndani ya karatasi kama cha Esta prof? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…