Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sawa.
Unatunzaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naipenda sana hii. It is kind of philosophical...Jicho la tatu ...Kujiona, kujitambua na kujithamini kiundani kabisa kiurazini na kinafsiya katika bonde la fikra, hulka, roho na utu...and that's basically you - tata, changamano, timilifu and yet simple and elegant. You are the embodiment of complex perfectionism. You are the universe...!!!

Samahani kama nimekukwaza prof...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
I have been wondering, Is it that hackers don’t make use of their mouse??

I noticed that in these movies once they’re been told to hack what you hear is “Pa ta pa ta pa ta pa ta, okay I’m in”

No moving of mouse, nothing nothing. Just keyboard[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1]
 
Hahah mkuu mkuu
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Tulikuwa tunakutafuta bro....
 
Wewe ni mtu wa muhimu sana humu. Ndiyo maana ukipotea huwa tunakutafuta kwa kila mbinu. Natumaini hujambo na maisha yanaendelea vyema.
Niko poa ndugu yangu, natumaini ata wewe utakua poa pia........ Kwakweli tumeshakua kama familia moja maana me pia huwa nawakumbuka kila siku ila kuna mambo yananifanya nishindwe kujumuika kama zamani
 
Niko poa ndugu yangu, natumaini ata wewe utakua poa pia........ Kwakweli tumeshakua kama familia moja maana me pia huwa nawakumbuka kila siku ila kuna mambo yananifanya nishindwe kujumuika kama zamani
Yote kwa yote Tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai. Mengine yote ni madogo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…