Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Boring sana. Nipo na wakorea hawana hizi ishu japo nao khaaa denda nje nje (mwanamke kwa mwanaume)wanalegezana hapo weee mpaka kitu toko toka mara mmoja anahairisha pambano shuaini zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakorea kama hawana hizo vitu basi wako vizuri(kwasasa maana wanaweza kuja badilika baadae hii ajenda ya ushoga naona inapamba moto).
Hizi american series haya mambo yapo sana.
Philipines nao dizain kama wanaweka hizi scene siku hizi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Philiphines walianza zamani mno angalia the promise ya akina angelo etc lazima shoga achomekwe humo na wanapenda kuwaweka scene za masaluni
 
Yaani sitamuelewa kwakweli[emoji23][emoji23]
Yaani hapa esta,pale Bradha kule kona ya bwiru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji87][emoji87][emoji87][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shosti unavyojua kugeuza dozi sasa. Dozi inasema akalale bana hakuna cha uji wala kona ya bwiru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mgonjwa asije zidiwa bureeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…