Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,913
- 1,036
Wewe hujamsikia Diamond anasema jibebe, unataka nani akubebe? ShubaaaamitNibebe nibembeleze nibebe[emoji445][emoji445][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
TRM....[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Nibebe nibembeleze nibebe[emoji445][emoji445][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaniiii!!!Hii ni kweli kabisa. Misambwanda ngwee lakini ukiangalia sura ni za Ankoo zao... [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1031287[/b]
Huyu Mmachame naye bomu tu huyu. Anazungumzia nini? Ni sakisafoni limemzingua? Ni tabia zao? Ni nini?Jamaniiii!!!
Ila raha ipo kwa wanaume wa kinyakyusa, mwe mwe mweeee...ni raha kuwa nae [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1031394
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Angel Mmachame kapigwa sakisafoni la uhakika sasa anatangazia ulimwengu mzima. Shwaiiiini !!!