Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Eti enzi za kanumba[emoji23][emoji23]
Ila serously wema ana movie gan latest?au monalisa?
Bora riyama tunamuona ona.
Wapewe tu tuzo za mashauzi insta

Sent using Jamii Forums mobile app
Monalisa ana movie mpya hujaiona jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ileee ya binti yake kupata A ya math.

Lulu nae alipania balaa ila sasa stress zikamuangusha shoo ikamdodea
 
Yeah baada ya pambano kali binti kachukua simu ya sallam na kujiweka live sijui alijipost. Salam kushtuka akafuta ila wambea walishadaka zaman
Huu ni wazimu.
Na sijui lini wadada wa mjini hawakomi na hizi mambo.
Sasa ndo anajionyesha kama anakulwa na sallam?
Hizi akili hizi nashukuru sina[emoji124][emoji124][emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]basi wangemuweka na kajala maana na yeye anamovie yake mpya na mwanae wakikata mauno[emoji23][emoji23]
Masikini kistuli anatia huruma basi tu
Monalisa ana movie mpya hujaiona jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ileee ya binti yake kupata A ya math.

Lulu nae alipania balaa ila sasa stress zikamuangusha shoo ikamdodea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]numby beibiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hia wi goo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
221f84dc0316cb1bcabfcd88250a1f37.jpeg
 
Hongera kwa mechi ya leo binti mpole ni hatua nzuri kwenda championi ligiView attachment 1031154
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankoooo umeisaka picha mpaka umeipata
51536032_181629906139051_8708073523440961387_n.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom