Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Open Discussion Forums is a place where you can make a big difference, it gives you an opportunity to learn how to think, foster your mental faculties and broaden your scope of knowledge by sharing valuable skills and experiences to others, while making a difference in improving people's lives!

Join Open Discussion Forums, The Home of Critical Thinkers! today and learn how to revolutionize your mind to effect a lasting change.
 
Aisha wa Mambo hayo actress mkongwe aliyechochea maendeleo ya tasnia ya sanaa ya uigizaji Tanzania awafumua waandaaji wa Tuzo Za Sinema Zetu kwa kusema.... . . "Nimetoka kuangalia sinema zetu! Nilibahatika kuiona kidogo Filamu ya kesho! Msema kweli mpenzi wa Mungu watoto walioshinda kwenye uigizaji bado kabisa! Wanajikanyaga mno! Bado hawajakomaa kabisaa!! Kwenye uchezaji!! Hata mai zumo ni bora Mara Mia! Kuwapa ushindi dhidi ya wema, Monalisa, gabo , johari, phd na wengine ? sijui ni vigezo vipi wametumia! Kama ni kura tu ni kura zipi zilizopigwa kuwazidi wakongwe waliokuwa wanapigiwa usiku na mchana? Je hawa watoto wapo nyuma ya Nani? Nani kafanya hili deal litiki? Mimi ile naiita Aibu ya mwaka! Ni Aibu kubwa sana sana kwenye tunzo za sinema zetu! Yaani uigizaji ule ndio uwafanye wewe bora? Wenzetu wa Kenya, Uganda, nigeria wakibahatika kuiona filam ya kesho na kuwaona wale watoto wanavyoigiza eti ndio waigizaji bora si Aibu hii jamani? Hiki ni kichekesho kilichopitiliza kwa kweli! (hayo ni mawazo yangu tu mhenga Mimi)[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]nimeudhika mpaka nimetoa povu Leo!"
Hivi hao watoto wanafananaje?
Nimeona uzi unaozungumzia hizo tuzo wakiponda hao watoto pia.
Halafu hizi tuzo wanakuwa na vigezo gan hadi kuchagua watakao wania,maana wema hana anachofanya ila kwenye tuzo utasikia kapata msanii bora wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hao watoto wanafananaje?
Nimeona uzi unaozungumzia hizo tuzo wakiponda hao watoto pia.
Halafu hizi tuzo wanakuwa na vigezo gan hadi kuchagua watakao wania,maana wema hana anachofanya ila kwenye tuzo utasikia kapata msanii bora wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamwene [emoji23][emoji23][emoji23]hawa mastaa wetu wanadhani insta ndo kila kitu,kutwa make ups na fotoshuti wakidhan wanalinda umaarufu wa filamu zao za enzi za kanumba. Anyway kilichotokea wanastahili sana tu kutendewa vile maana Tanzania hakuna filamu bali maigizo na editing za kutosha insta
 
Uliiona hii shost?mke wa sallam ana kazi sana
52047760_387301825392473_1922173044207710331_n.jpg
 
Chelsea XI: Arrizabalaga, Azpilicueta, Luiz, Rudiger, Emerson, Jorginho, Kante, Barkley, Willian, Hazard, Pedro.

Subs: Caballero, Christensen, Kovacic, Loftus-Cheek, Hudson-Odoi, Giroud, Higuain.

Man City XI: Ederson, Zinchenko, Laporte, Otamendi, Walker, Fernandinho, D. Silva (C), De Bruyne, B. Silva, Sterling, Aguero.

Subs: Muric, Danilo, Kompany, Gundogan, Sane, Mahrez, Foden
 
Massimiliano Allegri amekuwa na mafanikio makubwa huko Juventus akibeba mataji manne ya Ligi Kuu na mengine ya ligi za ndani tangu mwaka 2014, lakini msimu huu mambo yake si mazuri ametupwa nje kwenye Coppa Italia huku akikabiliwa na mlima mrefu wa kuyapangua mabao mawili aliyofungwa na Atletico Madrid katika mechi ya kwanza ya hatua ya mtoano kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
Kibarua cha kocha huyo kiko kwenye hali mbaya licha ya kuiwezesha Chelsea kufuzu hatua ya 16 Bora ya Europa League, lakini zaidi klabu inadai kuumizwa na matokeo ya kutolewa kwenye Kombe la FA na Manchester United pamoja na kipigo cha mabao 6-0 dhidi ya City.
 
Back
Top Bottom