Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Poootiiii kweli adui muombee njaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unitag matokeo, tafadhali. VODA inaleta shida kidogo hapa chimbo! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
32de4ea4-3f15-406e-b040-8b7bdd134a0b.jpeg
 
Wew una support timu gani Bro?
Nakumbuka kipindi natoka kijijini, ile naingia tauni tu, nikakutana na tisheti nyekundu yenye maandishi ya "sharp" huku nina picha ya "Pita shumaiko" na "Ande -ndekisye Mwaki-Cole",hatuja kaa sawa mwaka 98 ukawa wetu, mara 99 huo nao ukawa wetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani huku Yanga kule Maniyuu....
Nimepoteza ushabiki wa mpira nimebakiza na mapenzi ya timu tu
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Umenifurahisha sana Bro,

Me pia ni shabiki wa timu sio mpira ingawa napenda sana mpira.

Sipotezi muda na timu nyingine zikicheza hata kama ni Man City VS Liverpool siwezi poteza muda!! Naskilizia matokeo tuu

Ila Man U hata kama anacheza na West harm, naitafuta game mpaka nimeitizama ndo naridhika!!!
 
Back
Top Bottom