Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1550914397362.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Umenifurahisha sana Bro,

Me pia ni shabiki wa timu sio mpira ingawa napenda sana mpira.

Sipotezi muda na timu nyingine zikicheza hata kama ni Man City VS Liverpool siwezi poteza muda!! Naskilizia matokeo tuu

Ila Man U hata kama anacheza na West harm, naitafuta game mpaka nimeitizama ndo naridhika!!!
Nimecheza mpira kwa miaka 12,niliachana nao baada ya kuvunjika mguu, nikabaki na ushabiki na mapenzi tu. Ushabiki ukakoma baada ya Man U na Yanga kuanza kufungwa hovyo,na mimi nina hasira sana, nikaona nikae pembeni tu.
Namshukuru Numbisa kwa taarifa anazoziweka humu, lasivyo sijui hata kama ningekuwa nawajua wachezaji
 
Vizuri sana,

Credit ingine kwa msemaji wa UNITED JF!!

Nitaacha kushabikia United tukishuka daraja Tu!! Otherwise, the UNITED thing is within my VEINS!!!
 
Back
Top Bottom