Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vizuri sana,

Credit ingine kwa msemaji wa UNITED JF!!

Nitaacha kushabikia United tukishuka daraja Tu!! Otherwise, the UNITED thing is within my VEINS!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
.
FB_IMG_1550852823647.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushindi wa Manhester United utaongeza kasi ya kuiacha Arsenal iko nafasi ya tano katika msimamo huo ikiwa na pointi zake 50. Arsenal iko nyumbani kucheza na Southampton. Timu hizo zinakutana huku Manchester United wakiwa na matumaini kwa wachezaji wake, Jesse Lingard na Anthony Martial kutokana na kuwa walikuwa majeruhi.
 
Oooh waaow mpo vizuri
Nimecheza mpira kwa miaka 12,niliachana nao baada ya kuvunjika mguu, nikabaki na ushabiki na mapenzi tu. Ushabiki ukakoma baada ya Man U na Yanga kuanza kufungwa hovyo,na mimi nina hasira sana, nikaona nikae pembeni tu.
Namshukuru Numbisa kwa taarifa anazoziweka humu, lasivyo sijui hata kama ningekuwa nawajua wachezaji
Vizuri sana,

Credit ingine kwa msemaji wa UNITED JF!!

Nitaacha kushabikia United tukishuka daraja Tu!! Otherwise, the UNITED thing is within my VEINS!!!
 
Back
Top Bottom