😂😂😂Ile ndo ilikuwa dawa nzuri na ina act very fast we tu hujui.
Ukitoka kutetema kama jenereta unakuwa mzimaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]jaribu siku moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Man u 3 vs 0 Liverpool[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiri matokeo ujue, ooh! [emoji6][emoji6]
Nilipenda kweli mpigwe leo. Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]This is liveeeerrrr this is liveeeerrrr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pheeeewwwNilipenda kweli mpigwe leo. Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1031114
Man u 3 vs 0 Liverpool[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ya kulia Avatar ya Zero IQ hiyo
Sare sare maua..
How are you today?😀😀😀😀😀
Pole sana!Nimecheza mpira kwa miaka 12,niliachana nao baada ya kuvunjika mguu, nikabaki na ushabiki na mapenzi tu. Ushabiki ukakoma baada ya Man U na Yanga kuanza kufungwa hovyo,na mimi nina hasira sana, nikaona nikae pembeni tu.
Namshukuru Numbisa kwa taarifa anazoziweka humu, lasivyo sijui hata kama ningekuwa nawajua wachezaji
I am doing great.Ahsante sana.How are you today?
Beautiful photo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu tulia hapo hapo tuuangalie mchapo wa chelsix na manshitYou wish! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Nishaenda Bagamoyo tayari, gagula kaniangalizia matokeo kwenye beseni la maji! Hongera lakini, mtoto mpole! [emoji1][emoji1]
Safiii..so ushajua tatizo lilikuwa ni nini?I am doing great.Ahsante sana.
🤣🤣🤣🤣 Miguno tu!