Kwakweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wengi humu hata kuona picha zake hawajaona...
Marahabaaaa...[emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]Shikamoo Bro [emoji4][emoji4].....Basi utakuwa zaidi ya muhenga Bro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ukatengeneze nywele hapo halafu ulete mrejesho pulizi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
E!e! Bado kipya?
AiseeKipyaaa ndani ya karatasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua.View attachment 1029403
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nmeliona bro,huyu Ester huyuBro na Kijana Mpole njooni huku. Hatimaye duka la dawa baridi la Esta limepatikana [emoji16][emoji16][emoji16]
Aaah wapiMarahabaaaa...[emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
Mi ni muhenga hata mwaka wangu siuoni hapo. Rudi nyuma kidogo tugonge kwenye 30s [emoji16][emoji16][emoji16]
Timu Wagumu [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Braza unaharibu sasa, watu tunaomba tufunguliwe huko PM, sasa wakiona hapa si ndio watazidi kukaza? Tufungulieni jamani ili tuweze kutupiamo hata ka salamu tu! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Kha! lord have Mercy..Wacha tu wengine tuendelee na kupiga tizi . ..
Unabisha? Mi nimekaa Mbulu miaka ya 60 wakati nasoma Mlimani. Msituone wengine tunachekeana humu. Hata akina Kapuya ni mabwana wadogo tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Scania zina wenyewe hizo...Nyie pigeni tizi ila muangalie tu msikomae na kuota vinundu [emoji16][emoji16][emoji16]Kha! lord have Mercy..Wacha tu wengine tuendelee na kupiga tizi . ..
Heh! kumbe ngoja tukafunge huko pm..kumbe we are sitting ducks!JF hii, kama ilivyo mtaani, ni pori...kuna kuwinda, kuwindwa na kuwindana. Na kupunguza rabsha njia bora ni kufunga PM tu tena kwa makufuli imara iwezekanavyo....
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Naona uzi umeondolewa. Walitajana mpaka majina?
Shhhhhh !!!Heh! kumbe ngoja tukafunge huko pm..kumbe we are sitting ducks!
Mmmh.. Halafu mnatusemaga sisi tunadanganya age..Unabisha? Mi nimekaa Mbulu miaka ya 60 wakati nasoma Mlimani. Msituone wengine tunachekeana humu. Hata akina Kapuya ni mabwana wadogo tu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji41][emoji41][emoji41]Unabisha? Mi nimekaa Mbulu miaka ya 60 wakati nasoma Mlimani. Msituone wengine tunachekeana humu. Hata akina Kapuya ni mabwana wadogo tu [emoji16][emoji16][emoji16]
ee anko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mgongo wa chura(kabyuku) na wewe umewahi kupanda enzi hizo?!!