Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

29fc5231-77ed-4a3c-8ddb-20e89aa34739.jpeg
 
Ukiona hupati likes zangu jua kuwa tayari umo kwenye iginoa listi yangu. Kazaramo haka kakijaga yaani unakuwa kama vile siyo wewe. Natamani tu wakateke tena na nywila wakanyang'anye foreva [emoji16][emoji16][emoji16]

#IhateTRM#
Hahah bro bhana,ngoja tukaombee kwa mtekaji zis taimu asepe hadi na nywila kabsa,kakirudi hapa ujanja wote kwisha habar yake
 
Ameokotwa ucku wa leo na boda2 pale NIDA kibaha, yupo Tumbi hospital, yupo salama kiafya ila tu alikuwa amechoka sana kwa njaa na jua.
Kama kuna mtu ana taarifa kuwa kuna ndg, jirani, jamaa aliyekuwa amejifungua karibuni na sasa hana mtoto pls toa taarifa policeView attachment 1032055

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman
Binadamu tumekosa utu kabsa,tumekuwa zaidi ya wanyama,ona malaika kama huyu,tabasamu mwanana kabsa masikini,inatia huruma sana

Mungu atamfanyia wepesi awe na afya njema tele.
 
Back
Top Bottom