Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jamani aliyemtelekeza sijui ana roho ya aje aiseeeAmeokotwa ucku wa leo na boda2 pale NIDA kibaha, yupo Tumbi hospital, yupo salama kiafya ila tu alikuwa amechoka sana kwa njaa na jua.
Kama kuna mtu ana taarifa kuwa kuna ndg, jirani, jamaa aliyekuwa amejifungua karibuni na sasa hana mtoto pls toa taarifa policeView attachment 1032055
Sent using Jamii Forums mobile app