Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455029774_206081.jpeg
 
TRM=Timu Roho Mbaya. Kazi yao kubwa katika uzi huu ni kushambulia Wasukuma eti washamba. Kiongozi wao mkuu asiyejielewa ni Carba. Mfuasi mkuu ni Ninge. Memba wengine ni Mwakaleli Moja (huyu anashangaza sana kwa sababu kaoa Msukuma) na Esta (huyu nadhani ni Nshomile aliyelowea Mwanza. Nilikosa kosa kumnyandua alipogoma kutokea Gold Crest pamoja na kumuomba na kumlilia sana. Alishaapa yeye ni Anonymous foreva). Hata Davet aliyekwama Mwanza naye anaonekana kuwaunga mkono. Ni group la hovyo kabisa katika uzi huu bro na kamwe usithubutu kujiunga nao!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

SIWAPENDI

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom