Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
πππππUKITAKA KUJUA KAMA BINAADAM ANA NGUVU SUKUMA MLANGO AKIWA NDANI YA CHOOππππππππ
πππππUKITAKA KUJUA KAMA BINAADAM ANA NGUVU SUKUMA MLANGO AKIWA NDANI YA CHOOππππππππ
πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankoooo umeisaka picha mpaka umeipataView attachment 1031188[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TRM=Timu Roho Mbaya. Kazi yao kubwa katika uzi huu ni kushambulia Wasukuma eti washamba. Kiongozi wao mkuu asiyejielewa ni Carba. Mfuasi mkuu ni Ninge. Memba wengine ni Mwakaleli Moja (huyu anashangaza sana kwa sababu kaoa Msukuma) na Esta (huyu nadhani ni Nshomile aliyelowea Mwanza. Nilikosa kosa kumnyandua alipogoma kutokea Gold Crest pamoja na kumuomba na kumlilia sana. Alishaapa yeye ni Anonymous foreva). Hata Davet aliyekwama Mwanza naye anaonekana kuwaunga mkono. Ni group la hovyo kabisa katika uzi huu bro na kamwe usithubutu kujiunga nao!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]hii TRM ni nini hivi?[emoji85][emoji85]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£TRM=Timu Roho Mbaya. Kazi yao kubwa katika uzi huu ni kushambulia Wasukuma eti washamba. Kiongozi wao mkuu asiyejielewa ni Carba. Mfuasi mkuu ni Ninge. Memba wengine ni Mwakaleli Moja (huyu anashangaza sana kwa sababu kaoa Msukuma) na Esta (huyu nadhani ni Nshomile aliyelowea Mwanza. Nilikosa kosa kumnyandua alipogoma kutokea Gold Crest pamoja na kumuomba na kumlilia sana. Alishaapa yeye ni Anonymous foreva). Hata Davet aliyekwama Mwanza naye anaonekana kuwaunga mkono. Ni group la hovyo kabisa katika uzi huu bro na kamwe usithubutu kujiunga nao kamwe !!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
SIWAPENDI
Jamaniiii !!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahsante kwa ufafanuzi, ukiona nimejiunga nao wewe ujue tuu maendeleo hayana chama [emoji3][emoji3][emoji3]
πππππJamaniiii !!!
Hata wewe bro? Nitalia usiku kucha indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Leo genye dah !!!
Yaan halafu katoto kazuri.Jaman
Binadamu tumekosa utu kabsa,tumekuwa zaidi ya wanyama,ona malaika kama huyu,tabasamu mwanana kabsa masikini,inatia huruma sana
Mungu atamfanyia wepesi awe na afya njema tele.
Efidensi[emoji23][emoji23]Kumbe screenshots zilitunzwa,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ule utekaji hautakuja kujirudia kamwe
Yaan waweza kuta baba wa mtoto kamkataa mama akaona isiwe shida,ila kuna watu wana roho ya kipekeeJamani aliyemtelekeza sijui ana roho ya aje aiseee
TRM=Timu Roho Mbaya. Kazi yao kubwa katika uzi huu ni kushambulia Wasukuma eti washamba. Kiongozi wao mkuu asiyejielewa ni Carba[/b]. Mfuasi mkuu ni Ninge. Memba wengine ni Mwakaleli Moja (huyu anashangaza sana kwa sababu kaoa Msukuma) na Esta (huyu nadhani ni Nshomile aliyelowea Mwanza. Nilikosa kosa kumnyandua alipogoma kutokea Gold Crest pamoja na kumuomba na kumlilia sana. Alishaapa yeye ni Anonymous foreva). Hata Davet aliyekwama Mwanza naye anaonekana kuwaunga mkono. Ni group la hovyo kabisa katika uzi huu bro na kamwe usithubutu kujiunga nao!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
SIWAPENDI
Agiza pepsi big nakuja kulipa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahsante kwa ufafanuzi, ukiona nimejiunga nao wewe ujue tuu maendeleo hayana chama [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Agiza pepsi big nakuja kulipa[emoji23][emoji23][emoji23]
Maendeleo hayana chamaView attachment 1032188
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo rahisi kihivyo poti [emoji16][emoji16][emoji16]Tafuta li plus size moja hapo ulinyandue! [emoji1][emoji1]