TRM=Timu Roho Mbaya. Kazi yao kubwa katika uzi huu ni kushambulia Wasukuma eti washamba. Kiongozi wao mkuu asiyejielewa ni
Carba. Mfuasi mkuu ni
Ninge. Memba wengine ni
Mwakaleli Moja (huyu anashangaza sana kwa sababu kaoa Msukuma) na
Esta (huyu nadhani ni Nshomile aliyelowea Mwanza. Nilikosa kosa kumnyandua alipogoma kutokea Gold Crest pamoja na kumuomba na kumlilia sana. Alishaapa yeye ni Anonymous foreva). Hata
Davet aliyekwama Mwanza naye anaonekana kuwaunga mkono. Ni group la hovyo kabisa katika uzi huu bro na kamwe usithubutu kujiunga nao!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
SIWAPENDI