Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

adelinaisack___BsmYftZAnNK___.jpg
 
Siwezi kukutia kwenye iginoa listi hata siku moja shemeji langu kipenzi. Wewe endesha TRM kwa amani na ikibidi recruit kila mwanauzi humu awe memba. Ila siku moja utalipia ubaya huu ambao ni unijastifaidi. Malipo ni hapa hapa duniani ati. Nakuombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] that's my bro,,kuna wanachama hapa nataka niwarecruit najua hawawez niangusha
 
Yaani ulivyokujaga katika uzi huu na Shiro wako. Ai neva ekisipekitedi zati yu wili tanapu tu bi zisi wei. Memba mkuu wa TRM? I would have bet my life that you will never ever join such a useless, hate-filled and a terrorist organization [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Hahaha bro umenichekesha sana,,hata Shiro mwenyew si yule wa kipindi kile,atakuja oneday hapa ujihakikishie mwenyew bro
 
Hahaha bro umenichekesha sana,,hata Shiro mwenyew si yule wa kipindi kile,atakuja oneday hapa ujihakikishie mwenyew bro
Haka Kazaramo kana ushawishi wa ajabu aisee. Yaani kanawajoinisha tu na siku baada ya siku TRM kinazidi kukua kuliko hata vyama vikongwe vya CHAWAMITA, CHAWAVITA, CHAWATA na vinginevyo. Hovyo kabisa yaani...

Halafu kanakuja na viemoji vyake vya [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]. Aaaaaaaaaaaargh !!![emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Back
Top Bottom