Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndugu yetu hatunae tena..
Poleni Clouds media, ndgu, jamaa na marafiki.

Bwana ametoa Bwana ametwaa...
Pumzika kwa AMANI.
[emoji120][emoji120][emoji120]

##Dunianituwapitajitu## Tupendane[emoji173]View attachment 1032823

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji444][emoji443]Kifo kifoo; kifo hakina huruma[emoji445][emoji443]

Bila shaka waliokuwa wanamwombea afe watakuwa wamefurahi. At the same time, tujifunze kuishi vyema na watu tungali hai. RIP Mulangira [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
FB_IMG_1551185790110.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huoni tayali naitwa mfuasi mkuu,iginolist haikwepek kwangu,
Siwezi kukutia kwenye iginoa listi hata siku moja shemeji langu kipenzi. Wewe endesha TRM kwa amani na ikibidi recruit kila mwanauzi humu awe memba. Ila siku moja utalipia ubaya huu ambao ni unijastifaidi. Malipo ni hapa hapa duniani ati. Nakuombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ah wapi tayali tumeshakusajiri kwenye chama TRM's
Yaani ulivyokujaga katika uzi huu na Shiro wako. Ai neva ekisipekitedi zati yu wili tanapu tu bi zisi wei. Memba mkuu wa TRM? I would have bet my life that you will never ever end up joining such a useless, hate-filled and a terrorist organization [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Back
Top Bottom