Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ningependa kuweka wazi baadhi ya mambo kuhusu ile mechi. Kwanza nasikitika namna mwisho wake ulivyokuwa. Haikuwa dhamira ya kutotii uamuzi wa kocha. Nadhani lilikuwa ni jambo la kushindwa kuelewana tu hasa ukizingatia ile ilikuwa homa ya mechi ya fainali,” alisema.