Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati mwenyewe akipiga hesabu hizo, jina lake limeanza kuhusishwa tena huko Stamford Bridge, baada ya kuwapo na watu wanaoamini Chelsea inahitaji tena mtu wa aina ya Mourinho akawanyooshe.
 
Mchakato wa kocha mpya Chelsea, Zinedine Zidane ndiye anayepewa nafasi kubwa kama Maurizio Sarri atafutwa kazi, lakini Mourinho naye ameibuka na kutajwa kwamba huenda akarudi kwenye kikosi hicho kwa mara ya tatu.
 
Katika awamu mbili za Mourinho alizokuwa na The Blues, zote alifukuzwa, lakini kubwa ni kwamba amewapa mataji ya Ligi Kuu England. Adhabu ya kufungiwa usajili inaweza kutibua dili la Mourinho kurudi kwenye timu hiyo, lakini Chelsea mpango wao ni kukata rufaa ili kuchelewesha adhabu hiyo wafanye usajili mwishoni mwa msimu huu.
 
Kinachoelezwa kuna Pauni 200 milioni za kusajili mastaa wapya, huku kukiwekwa orodha ya wachezaji wanne ambao The Blues itaanza nao kwenye mpango huo. Wachezaji hao wanaotajwa ni Isco, Kalidou Koulibaly, Mauro Icardi na Alex Telles.
 
Wachambuzi wa mambo ya soka wanadai huenda Mourinho ametoa kauli hiyo ili kumtia Hazard hamu ya kwenda Real Madrid aondoke Stamford Bridge ili yeye atakaporudi asikumbane na kasheshe za kukutana na mchezaji staa na anayekubalika kwenye kikosi kuliko yeye.
 
Huko Real Madrid alitibuana na mastaa wengi tu akiwamo Iker Casillas, Chelsea alitubuana na Hazard na kwenye kikosi cha Man United, hakuwa kwenye uhusiano mzuri na Paul Pogba.
 
Hata hivyo, hilo la Mourinho na Zidane kutua Chelsea litafahamika tu hapo bilionea Roman Abramovich atakapomaliza kesi yake na Sarri, kama abaki au aondoke itakapofika mwisho wa msimu. Na hali ilivyo huko Chelsea, maisha ya Sarri kufika mwisho Stamford Bridge yanavyoonekana kama sio sasa basi baadaye.
 
Bwana ametoa, ametwaa jina lake lihimidiwe
FB_IMG_1551204456441.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hossam Hassan Hussein

Mwaka 1966 katika nchi ya Misri alizaliwa gwiji huyu ambaye mpaka leo ameacha alama katika kikosi chake cha timu ya taifa akiwa mfungaji bora wa kipindi chote katika timu hiyo akifunga magoli 70 katika michezo 169 aliyoichezea timu ya Misri akiwa mshambuliaji.
Hii namba niliitaka sana. Bahati mbaya nimekuwa na siku ngumu kabisa.

Hongera sana kuwa namba laki tisa [emoji106][emoji120][emoji112][emoji1666]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom