Kuhusu maamuzi yake ya kwenda katika chumba cha kubadilishi nguo huku mechi ikiendelea, Sarri alisema “Nilihitaji utulivu kidogo. Kama nilivyosema nilidhani kipa alielewa nilitaka mabadiliko kwa sababu ya hali yake ya kimwili, na alisema hana matatizo ya mwili. Kwahiyo nadhani nilikuwa sahihi.”