myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
16:26
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeTRM=Timu Roho Mbaya. Kazi yao kubwa katika uzi huu ni kushambulia Wasukuma eti washamba. Kiongozi wao mkuu asiyejielewa ni Carba. Mfuasi mkuu ni Ninge. Memba wengine ni Mwakaleli Moja (huyu anashangaza sana kwa sababu kaoa Msukuma) na Esta (huyu nadhani ni Nshomile aliyelowea Mwanza. Nilikosa kosa kumnyandua alipogoma kutokea Gold Crest pamoja na kumuomba na kumlilia sana. Alishaapa yeye ni Anonymous foreva). Hata Davet aliyekwama Mwanza naye anaonekana kuwaunga mkono. Ni group la hovyo kabisa katika uzi huu bro na kamwe usithubutu kujiunga nao!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
SIWAPENDI
Karbu kwenye chama bro,karbu sana...maendeleo hayana chama kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahsante kwa ufafanuzi, ukiona nimejiunga nao wewe ujue tuu maendeleo hayana chama [emoji3][emoji3][emoji3]