Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] that's my bro,,kuna wanachama hapa nataka niwarecruit najua hawawez niangusha
 
Hahaha bro umenichekesha sana,,hata Shiro mwenyew si yule wa kipindi kile,atakuja oneday hapa ujihakikishie mwenyew bro
 
Hahaha bro umenichekesha sana,,hata Shiro mwenyew si yule wa kipindi kile,atakuja oneday hapa ujihakikishie mwenyew bro
Haka Kazaramo kana ushawishi wa ajabu aisee. Yaani kanawajoinisha tu na siku baada ya siku TRM kinazidi kukua kuliko hata vyama vikongwe vya CHAWAMITA, CHAWAVITA, CHAWATA na vinginevyo. Hovyo kabisa yaani...

Halafu kanakuja na viemoji vyake vya [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]. Aaaaaaaaaaaargh !!![emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…