Hahaha.. wale wa uzi wa usiku wa manane
Mkuu andjul usifadhaike haya mambo yalikuwepo tangu zaman.Mada imejaa lawama, comments nazo ni lawama tupu. Hapa ndipo binadamu tulipo fikia.
Wataalamu wa saikolojia huu ndio wakati wa kukiokoa kizazi hiki. Kizazi kimesha choka, kizazi kimeshindwa kusimama. Kizazi kimepoteza dira. Ajira hakuna, kujishughulisha sifuri na "kubet" hakulipi... Yaani ni fulu furasichuresheni... Kichwa kinapata moto... Hakipoi... Lawama zote zilizo kuwa za serikali zimehamishiwa kwa Mungu...
Wanasaikolojia, kuna haja.... Fungueni vituo, iokoeni jamii.
Hata hapa tupo wengi wenye haja... SHIMBA YA BUYENZE naomba mtusaidie, Pyaar jitoleeni kwa mabandiko yenye kuleta faraja, Numbisa ahsante.
Carba, Capitalpool,Fragaria,Cole,Ningendako,Yego,moudgulf Bradha na wengine mnaweza kutuokoa.
Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha - JamiiForums
Nimebaki mdomo waziii 😣😣😣😣😣😣😣😣Mada imejaa lawama, comments nazo ni lawama tupu. Hapa ndipo binadamu tulipo fikia.