Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

adelinaisack___BsYZtMkA6AY___.jpg
 
Mkuu andjul usifadhaike haya mambo yalikuwepo tangu zaman.
Hata hivyo hapa jf tumechanganyika sana na kwenye mchanganyiko huu shetani mkuu Ibirisi na jeshi lake wapo humu wakiwa na I'd na avatar za kibidamu wakiendeleza majukumu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfumo huu tutahadaiwa wengi, kwa kufuata walio wengi.
Mungu wa haki awe upande wetu [emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom