Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezo uliopita Man United ilijikuta ikilimwa mabao 2-0

Kaka yake, Florentin alisema kwamba kutokuwepo kwenye mchezo huo dhidi ya PSG, imekuwa kama bahati mbaya kwake kwani matarajio yake ilikuwa kukutana na PGS timu ambayo amekulia mtaani kwao.
 
Mada imejaa lawama, comments nazo ni lawama tupu. Hapa ndipo binadamu tulipo fikia.
Wataalamu wa saikolojia huu ndio wakati wa kukiokoa kizazi hiki. Kizazi kimesha choka, kizazi kimeshindwa kusimama. Kizazi kimepoteza dira. Ajira hakuna, kujishughulisha sifuri na "kubet" hakulipi... Yaani ni fulu furasichuresheni... Kichwa kinapata moto... Hakipoi... Lawama zote zilizo kuwa za serikali zimehamishiwa kwa Mungu...
Wanasaikolojia, kuna haja.... Fungueni vituo, iokoeni jamii.
Hata hapa tupo wengi wenye haja... SHIMBA YA BUYENZE naomba mtusaidie, Pyaar jitoleeni kwa mabandiko yenye kuleta faraja, Numbisa ahsante.
Carba, Capitalpool,Fragaria,Cole,Ningendako,Yego,moudgulf Bradha na wengine mnaweza kutuokoa.
Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha - JamiiForums
 
Mkuu andjul usifadhaike haya mambo yalikuwepo tangu zaman.
Hata hivyo hapa jf tumechanganyika sana na kwenye mchanganyiko huu shetani mkuu Ibirisi na jeshi lake wapo humu wakiwa na I'd na avatar za kibidamu wakiendeleza majukumu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimebaki mdomo waziii 😣😣😣😣😣😣😣😣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…