kweliKipendacho moyo ni dawa.
Haya matokeo tuliyasubiri sana YegomasikaMchezo uliopita Man United ilijikuta ikilimwa mabao 2-0
Kaka yake, Florentin alisema kwamba kutokuwepo kwenye mchezo huo dhidi ya PSG, imekuwa kama bahati mbaya kwake kwani matarajio yake ilikuwa kukutana na PGS timu ambayo amekulia mtaani kwao.
Ndipo tulipo fika. Kuna haja... BL tusaidieni kwa kweli [emoji120][emoji120]Nimebaki mdomo waziii [emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Kwa mfumo huu tutahadaiwa wengi, kwa kufuata walio wengi.Mkuu andjul usifadhaike haya mambo yalikuwepo tangu zaman.
Hata hivyo hapa jf tumechanganyika sana na kwenye mchanganyiko huu shetani mkuu Ibirisi na jeshi lake wapo humu wakiwa na I'd na avatar za kibidamu wakiendeleza majukumu yao.
Sent using Jamii Forums mobile app