Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*VITU VINAVYOTAMBULISHA UAFRIKA*[emoji1313][emoji1313]
1; *_Kukojoa nyuma ya choo_*
2; *_Mke analala ukutani_*
3; *_Ufagio unakaa nyuma ya mlango_*
4; *_Kuna ile sahani na mabakuli mazuri ya udongo hutumika mgeni akija tu_*
5; *_Ukiwa tajiri watu watasema umekuwa Freemason au ndagu_*
6; *_Kufulia chupi maji yaliyobakia kuoga_*
7; *_Kuosha vijiko kwanza kabla ya vikombe mwisho kabisa unamalizia sufuria_*
8; *_Mzazi anakufokea kama dakika 40 hivi mwisho anakuambia halafu leo sijisikii kuongea_*
9; *_Mzazi anakuwa busy na simu au kusinzia ila ukibadilisha tu channel anakufokea_*
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanadhadhalisha dini za watu kwa tamaa ya vipande 30 vya fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…