Hahahahahaha aiseeeeeUmetoa ile avatar ya katoto innocent kenye dimples na kurudisha hii ya kishari shari eeh!? Hii angalau kidogo inakurudishia u rolo modo kidogo. Kale katoto ulikuwa unakaonea tu kwa kweli kwa sababu hamuendani kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Raha gani kamanda?
aisee, ni kwema kabisa namshukuru Mungu.
safii