Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Duh!!!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Shiro naye akijiunga TRM haki ya nani nahama katika uzi huu kwa mwezi mzima. Hakikisha anaupata ujumbe huu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mm hii kali.. jeneresheni ya utandawazi hii..wanasoma vitu kwenye mitandao wanaiga tu.. maisha magumu wanaona solusheni ni kumkashifu Muumba badala ya kufanya juhudi za kujikomboa na umasikini..Mada imejaa lawama, comments nazo ni lawama tupu. Hapa ndipo binadamu tulipo fikia.
Wataalamu wa saikolojia huu ndio wakati wa kukiokoa kizazi hiki. Kizazi kimesha choka, kizazi kimeshindwa kusimama. Kizazi kimepoteza dira. Ajira hakuna, kujishughulisha sifuri na "kubet" hakulipi... Yaani ni fulu furasichuresheni... Kichwa kinapata moto... Hakipoi... Lawama zote zilizo kuwa za serikali zimehamishiwa kwa Mungu...
Wanasaikolojia, kuna haja.... Fungueni vituo, iokoeni jamii.
Hata hapa tupo wengi wenye haja... SHIMBA YA BUYENZE naomba mtusaidie, Pyaar jitoleeni kwa mabandiko yenye kuleta faraja, Numbisa ahsante.
Carba, Capitalpool,Fragaria,Cole,Ningendako,Yego,moudgulf Bradha na wengine mnaweza kutuokoa.
Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha - JamiiForums
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Haka Kazaramo kana ushawishi wa ajabu aisee. Yaani kanawajoinisha tu na siku baada ya siku TRM kinazidi kukua kuliko hata vyama vikongwe vya CHAWAMITA, CHAWAVITA, CHAWATA na vinginevyo. Hovyo kabisa yaani...
Halafu kanakuja na viemoji vyake vya [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]. Aaaaaaaaaaaargh !!![emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Huyu tu sijawahi muona laivu..wapo wapo wanaonekana saa ngapi?
Hahaha.. hata peni.. unabaki kushangaa wengine zinafikaje mpaka zinaishaMimi sikuwahi.Itapotea/ibiwa kabla ya kufika huko.
Pendeza....
Hahahah...... eti TRMWale wanachama wa chama kile pendwa nawasalimia
Numbisa
ningendako
Davet
andjul
Bila kumsahau Bradha
Ha wa yuniiiii[emoji137][emoji137][emoji137]
Eti nasikia mnaitwa TRM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
M.A.PTANZIA : Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Ltd. Ruge Mutahaba amefariki Dunia jioni ya leo nchini Afrika Kusini. Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi..
Ankoo,,watu na maisha yaoMada imejaa lawama, comments nazo ni lawama tupu. Hapa ndipo binadamu tulipo fikia.