Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah... usizingatie sana mzee huu ni utabiri wangu tu, nimezingatia kiwango cha hawa vibonde walivyocheza na Buyern pia game yao ya mwisho walivyocheza na Man United B. Jamaa hawana hali kabisa wachezaji wao wanaonekana kuchoka adi akili asa washambuliaji
Umenichekesha sana,et walivyocheza na Man United kweli aisee,ile game United isingekuwa na majeruhi wengi tungeondoka na ushindi,hii ya Buyern,,nawaona kama safari yao ndio kwisha habar

Kuna jamaa yangu,yy huwa anasema Liver hata kama akuache point 10 au zaid,,bhasi mwsho wa siku utampita tena kirain sana,,,kama msimu huu ilivyotokea.
 
.
FB_IMG_1551261572124.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Livepool wana alama 66 huku Manchester City wakiwa na pointi 65. Tottenham inafuatia nafasi ya tatu ikiwa na alama 60, Arsenal wana pointi 53, Man United wapo nafasi ya tano wakiwa na pointi 52. Pia Chelsea wamesimama nafasi ya sita wakiwa na alama 50.
 
Back
Top Bottom