Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mechi za Ligi Kuu England zilizochezwa jana Jumanne usiku.

Cardiff City 0-3 Everton

Huddersfield Town 1-0 Wolverhampton Wanderers

Leicester City 2-1 Brighton & Hove Albion

Newcastle United 2-0 Burnley
 
.
FB_IMG_1551261704354.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenichekesha sana,et walivyocheza na Man United kweli aisee,ile game United isingekuwa na majeruhi wengi tungeondoka na ushindi,hii ya Buyern,,nawaona kama safari yao ndio kwisha habar

Kuna jamaa yangu,yy huwa anasema Liver hata kama akuache point 10 au zaid,,bhasi mwsho wa siku utampita tena kirain sana,,,kama msimu huu ilivyotokea.
Hii timu ilipata laana mzee, kuna mchezaji wao kitambo walikua wanamuita Mungu, basi hii laana inawatafuna mpaka kesho
 
Shirikisho la soka duniani (FIFA), limethibitisha kuwa klabu ya Nantes imewasilisha malalamiko juu ya kutolipwa pesa ya uhamisho wa mchezaji Emiliano Sala na klabu ya Cardiff City ambayo ilikuwa ajiunge nayo kabla ya kufariki kwenye ajali ya ndege.
 
Back
Top Bottom