Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Tatizo Buyern nao hawakunionyesha kama wana nia ya kushinda maana game ya kwanza hawakufanya mashambulio ya maana kabisa zaidi walikua wanacheza sana kati na wao kushambuliwa zaidi sema safu yao ya ulinzi ilikua imetulia......Ndio,Alianz Arena ndio mwsho wao,japo Klopp anapajua vizuri pale lkn kwa game hz za hv karbun walivyocheza,safar yao imewadia
Asante ...pole na majukumupoleni wafanyakazi wote,,
Asante..poleni wasafiri wote..
Hiyo ni volcano?or
still water
Have you any wool?
Well i think it depends on a situation in which a word is used as a noun i find it as an insult. But when used as a slang i don't see a big deal coz it can used to refer that a woman is behaving in a rude way.....And for the meaning of the word in swahili it means m....a which is an insult/offenceFair question:
How do you girls feel when men refer to you as bitches? Aren't you offended or you take it as a normal (American) slang similar to girls calling their men niggaz?
...and what is a bitch in Swahili? Mdangaji? Chakaramu? Mwanamke wa shoka? Changudoa? Maharage ya Mbeya?
Hahaha.. hata peni.. unabaki kushangaa wengine zinafikaje mpaka zinaisha
New member haha,,,maendeleo hayana chama
😁😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwez kimbia kivuli chako bro
😀😀😀😀😀😀 Kahofia hawatakaona.🤣🤣🤣🤣 Plane food! ka sticker kao ka kubandika kwenye siti hakatoshi!
Hakuna jipya hapo. Yote aliyoyasema, kwa namna moja au nyingine, hayajaanza leo wala jana na yanahusiana na tapo la Kifalsafa lijulikanalo kama Existentialism. Tapo hili lilianzishwa na mwanafalsa wa Denmark aliyejulikana kama Soren Kierkegaard. Huyu jamaa alilalamika sana kuhusu ugumu wa maisha na akamuuliza Mungu kwa nini hakuulizwa kabla ya kuzaliwa? Kwa nini Mungu Alidhani kuwa kila mtu aliyezaliwa alitaka kuzaliwa? Alisema safari ya binadamu inayoanza kwa kulia na kumalizika kwa kuliliwa haina furaha wala amani isipokuwa maumivu tu na mahangaiko na akashauri binadamu atafute suluhisho kwa Mungu ambaye ndiye pekee anayeelewa hasa kusudi la kuwepo kwa binadamu.Mada imejaa lawama, comments nazo ni lawama tupu. Hapa ndipo binadamu tulipo fikia.
Wataalamu wa saikolojia huu ndio wakati wa kukiokoa kizazi hiki. Kizazi kimesha choka, kizazi kimeshindwa kusimama. Kizazi kimepoteza dira. Ajira hakuna, kujishughulisha sifuri na "kubet" hakulipi... Yaani ni fulu furasichuresheni... Kichwa kinapata moto... Hakipoi... Lawama zote zilizo kuwa za serikali zimehamishiwa kwa Mungu...
Wanasaikolojia, kuna haja.... Fungueni vituo, iokoeni jamii.
Hata hapa tupo wengi wenye haja... SHIMBA YA BUYENZE naomba mtusaidie, Pyaar jitoleeni kwa mabandiko yenye kuleta faraja, Numbisa ahsante.
Carba, Capitalpool,Fragaria,Cole,Ningendako,Yego,moudgulf Bradha na wengine mnaweza kutuokoa.
Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha - JamiiForums
Mkuu andjul usifadhaike haya mambo yalikuwepo tangu zamaniMkuu andjul usifadhaike haya mambo yalikuwepo tangu zaman.
Hata hivyo hapa jf tumechanganyika sana na kwenye mchanganyiko huu shetani mkuu Ibirisi na jeshi lake wapo humu wakiwa na I'd na avatar za kibidamu wakiendeleza majukumu yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Umenifurahisha!! sana hata MALAYA umeshindwa kuandika???Well i think it depends on a situation in which a word is used as a noun i find it as an insult. But when used as a slang i don't see a big deal coz it can used to refer that a woman is behaving in a rude way.....And for the meaning of the word in swahili it means m....a which is an insult/offence
Sent using Jamii Forums mobile app
👍👍Hakuna jipya hapo. Yote aliyoyasema, kwa namna moja au nyingine, hayajaanza leo wala jana na yanahusiana na tapo la Kifalsafa lijulikanalo kama Existentialism. Tapo hili lilianzishwa na mwanafalsa wa Denmark aliyejulikana kama Soren Kierkegaard. Huyu jamaa alilalamika sana kuhusu ugumu wa maisha na akamuuliza Mungu kwa nini hakuulizwa kabla ya kuzaliwa? Kwa nini Mungu Alidhani kuwa kila mtu aliyezaliwa alitaka kuzaliwa? Alisema safari ya binadamu inayoanza kwa kulia na kumalizika kwa kuliliwa haina furaha wala amani isipokuwa maumivu tu na mahangaiko na akashauri binadamu atafute suluhisho kwa Mungu ambaye ndiye pekee anayeelewa hasa kusudi la kuwepo kwa binadamu.
Mawazo haya ya Soren Kierkegaard hasa kuhusu dhana ya kumuona Mungu kama kimbilio yalipingwa vikali na mwanafalsafa wa Kijerumani aliyeitwa Friedrich Nietzsche. Huyu alidai kwamba Mungu Asingeweza kuwa suluhusho la mateso ya binadamu kwa sababu Mungu Alikuwa Amekufa. Mwaka 1882 aliutangazia ulimwengu kuwa God is Dead!. Alichomaanisha ni kwamba dhana nzima ya uwepo wa Mungu ina maluweluwe na wanaojifanya kuwa ni wafuasi wake wamejaa unafiki na hawazingatii misingi ya huyo Mungu wao. Kwamba kama kweli Mungu Angekuwa hai katika mioyo yao basi wasingekuwa wanatenda waliyokuwa wanatenda. Aliishia kudai kuwa ukombozi wa binadamu kutokana na mateso yake katika maisha haya aliyolazimishwa kuyaishi bila kuulizwa unategemea juhudi zake za kibinafsi za kujitafutia furaha na ridhiko; na kamwe asiingiliwe katika juhudi zake hizi hasa kama havunji sheria. Alishambulia sana taasisi za kijamii karibu zote akidai kuwa lengo lake kuu lilikuwa ni kumnyoosha binadamu ili aendelee kuteseka vizuri na kuufisha ule upekee wake ambamo hasa ndimo mna angalau unafuu wa maisha. Ukombozi wa binadamu umo katika kujitambua yeye mwenyewe na kuishi maisha yaliyoangaziwa...
Baadaye mwanafalsa wa Kifaransa aitwaye Jean-Paul Sartre aliyafafanua kwa undani mawazo ya Kierkegaard na Nietzsche na kulipanua tapo la Existentialism kwa kuongezea mawazo na mapendekezo mengi kuhusu jinsi binadamu anavyoweza kujinasua na mateso hasa anapopambana na hali yake. Anadokeza kwamba ile kuzaliwa tu ni tragedy pengine kubwa kuliko zote katika maisha ya mtu; na maisha si kingine bali ni mlolongo wa mateso na maumivu ambayo hitimisho lake hufikia siku ya kifo. Kama Nietzsche alisema kuwa Mungu na dini haviwezi kumsaidia binadamu kuondokana na mateso haya sana sana tu vitamsahaulisha mateso hayo kwa muda kama ganzi au dawa za kupunguza maumivu zinavyompa ahueni mgonjwa kwa muda tu. Binadamu inabidi atafute ahueni katika nafsi yake kwa juhudi za makusudi za kujitambua huku akijua malengo yake hasa ni nini. Na huu ndiyo msisitizo mkubwa wa dini nyingi za Mashariki ya Mbali mf. Uhindu, Ushinto na zinginezo. Hizi zimekwenda mbali zaidi na kudai kuwa hakuna kifo bali kifo ni mzunguko tu wa kimaumbile na binadamu ana uwezo wa kuutawala mzunguko huu kama akijitambua na kuishi maisha yenye utambuzi na yasiyo na ukinzani na nguvu zingine za kimalimwengu. Katika urazini na roho ya binadamu kuna siri zote kuhusu ulimwengu huu na malimwengu mengine na binadamu anapaswa kufanya juhudi za makusudi ili kuijua siri hii. Hii ndiyo siri itakayomfanya aondokane na hofu, woga, hasira, maumivu, kukata tamaa na mambo mengine mabaya yanayomhangaisha. Roho ya binadamu haifi na huzaliwa tena na tena katika maumbo mbalimbali kutegemea na kiwango cha utambuzi na maisha iliyoishi katika maisha yaliyopita. Na kwa kuondoa kifo dini hizi zinamwondolea binadamu mojawapo ya tukio mojawapo la kutisha sana katika maisha yake. Na kama hakuna kifo, hofu, hasira, maumivu, wasiwasi, kukata tamaa na mambo mengine mabaya yanatoka wapi?
Nikipata muda nitaandika kauzi kuelezea vizuri Existentialism kwa muktadha wa kazi za Euphrase Kezilahabi - kazi ambazo ili kuzielewa sawa sawa inabidi uielewe misingi yote 7 ya Existentialism.
Kwa hivyo ukiona ishu kama hizi wala usivunjike moyo. Mambo haya hayajaanza leo wala jana; na pengine ni vizuri vijana wetu wakawa na mawazo ya aina hii kama hatimaye yatawawezesha kufikia kwenye hitimisho lisilo na shaka; na siyo chuki na kukata tamaa. Wasiwasi wangu ni elimu tunayowapa hawa watoto. Sina uhakika kama inawaandaa kuweza kufikiri kwa mapana na kwa kina kuhusu masuala haya mazito. Tena siku hizi tumepuuzia masomo ya sanaa na tunataka watoto wetu wote wawe wanasayansi. Tumesahau kwamba hata katika akademi za akina Plato na Pythagoras; japo mkazo ulikuwa ni kwenye sayansi hasa Hisabati, wanafunzi pia ilibidi wasome baadhi ya kazi kuu za kifasihi, Lojiki na Public Speaking. Kwa njia hii ndiyo unaweza kujenga jamii ya watu wanaofikiri sawa sawa na wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja.