Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carba uko fasta nilikuwa nataka nimjaze jaze baadae nimuombe aitume hapa
Hakika ww ni mwenyekit imara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo pamoja mkuu, naona unakimbiza tu
Ng' ombe 1000Now You know ..
Hivi kwenu mahali inatakiwa Ng'ombe wangapi??
😀😀😀😀😀😀.. Bro broHakuna hata mmoja mzaliwa wa Mwanza.
Faunda = Mzaramo (Dar)
#1 Folowa = Mnyiramba (Singida)
Esta = Likely Nshomile (BK)
Mwakaleli Moja = Mnyakyusa (Mwakaleli)
Bae wa Uzi = ???
Potensho membazi Innocent Bro = Arachuga?
duh!!Yero Masai [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1033712
mh!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1033720
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tupo pamoja mkuu, naona unakimbiza tu
Duh juisi ya 5000 na maji ya 2000 chakula 28000 aiseee watu wa dar mpo vizuriNimejikuta mfukoni na hii bill niliipata moja ya chimbo kubwa huko kanda ya Ziwa
View attachment 1033985