myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Cry vs ManU
Ushanigeuka tayari dah!!!Uzuri sio sura Bro, me nataka hicho kinanishangaza kwake.
Huu msiba utamuuma kuliko mtu yeyote yule.Huo muda ataupata basi anahaha kusaka hati ya hausi akazembea inawekwa kwenye mirathi na bado mawazo tele akitaman Ruge arudi amuombe msamaha kwa yote aliyomtendea,msiba mkali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]carbamazepine [emoji23][emoji23]
Hongera Esta. You deserve it. Kwenye mpira uko. Vichekesho zile nyuzi zako zinafanya vizuri sana. Kwenye ubuyu ndo usiseme....na kwingineko. Halafu anonimazi foreva hakuna drama za malavidavi...Uko vizuri mno...Followers 77 awesome JF
Sababu ya kupunguza ligi ni hawa followers khaa ndo najikuta namsunta follower wangu akhu ligi tupa kuleeeeeee
Weweeeee!Hahah kwa hyo sasa hivi umepumzika kwenye ligi eeh
TRM is a teraristi oganaizesheni...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha nisiseme neno[emoji87][emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha wabheja brooHongera Esta. You deserve it. Kwenye mpira uko. Vichekesho zile nyuzi zako zinafanya vizuri sana. Kwenye ubuyu ndo usiseme....na kwingineko. Halafu anonimazi foreva hakuna drama za malavidavi...Uko vizuri mno...
Mimi nami napaswa kuwa folowa wako pia (kama bado). Rolo modo lazima nikufolo aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Weweeeee!
Huyu Esta wa sasa na Esta yule wa zamani wakikutana, they will shoot at each other. Wa zamani ulikuwa unamkuta anapambana na ligi hata tatu horizontally na zote anazimudu. Halafu hachati na mtu...Fulu fokasi kwenye ligi na likes na alikuwa haangalii makunyanzi - mwanauzi si mwanauzi ukijilengesha unakula mikwenzi ya uhakika halafu anaendelea kula likes tu as if nothing happened...wakati wewe huku unaugulia maumivu. Ndiyo maana nilipambana kufa na kupona angalau nipate kumtia jichoni pale Gold Crest. Angekuwa huyu wa sasa huyu unafikiri ningehangaika basi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hii huwa inaukwel wowote bro??Yero Masai [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1033712