Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Esta mjanja mno. Nilicheza drama zote ananicheki tu. Nikaishia kwenda hapo Mwanza Hoteli nikakutana na wakatisha tiketi za ndege kwenye agency moja hivi wakataka kunidanga nikasema hii noma sasa. Kesho yake nikaenda kwenye lipicha la samaki kuhiji nikapiga picha halafu nikasepa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kumbe huyu sasa yupo simple sana??bro ulitakiwa kwenda nae mdogo mdogo ungefanikisha kumtia machon pale Gold Crest
#TRMiseterraristiOganaizesheni#